Product Price Quantity Subtotal
× SEWING MACHINE Machine ndogo ya kushona nguo, ni kwa matumizi ya nyumban tu jaman usitembee na nguo iliyochanika, shona nguo yako mwenyewe kumbukeni kuna nguo zingine haziendi kwa fundi zile nguo za ndani kwaiyo ukipata machine kama hii itakisaidia kuzitengeneza nguo zako Hata kiraka unaweka tu Inatumia adapter na kikanyagio kimoja #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliatz Sewing Machine
1 x Sh110,000.00
Sh110,000.00
Sh110,000.00
× Food Dehydrtor Dehydrator ya kukaushia vyakula, matunda wanaopenda kula vitu vikavu huu ni wakati wao kwa bei nzur na rahisi zaid unaweza kukausha hata mbogamboga za majani Brand gotze and jensen Watts 245 #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliaTz Food Dehydrator
1 x Sh180,000.00
Sh180,000.00
Sh180,000.00
× Slow Cookers Slowly cooking hii kama hauna haraka ya kupika ni nzur sana unabandika chakula chako kinaiva taratibu, unweza bandika chakula na kuondoka kwenda kazin ukirud unakuta kipo tayr ni kula tu Watts 230 #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afroboel #afrotaliatz Slow Cookers
1 x Sh80,000.00
Sh80,000.00
Sh80,000.00
× Tower Fan Fan zenye ubara mzuri na zisio na ubari mkali wa kuumiza kifua, zinafaa sana kwa watoto wadogo kulinda ya wasipata athar ya kifua ni nzur sana hii ipo moja tu Bei 80,000 #0686979377 #0757252557 Tupo Mikochen B Mwai Kibaki Road pembeni ya Nakiete pharmacy #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaaliaTz Tower Fan
1 x Sh180,000.00
Sh180,000.00
Sh180,000.00
× BREAD TOASTER Toaster za kupasha na kuukausha mkate, pia zinabadilisha rangi ya mkate na kuwa brown, Zipo zimekuja chache sana jaman Brand Raven kutoka Germany Watts 800 Bread Toaster Double slice
1 x Sh18,000.00
Sh18,000.00
Sh18,000.00
× Hair roll Weka nywele zako katika muonekano tofauti na hair roll zetu, unaviringisha nywele inatoka na mawimbi wa kipekee kabisa yaan kama kamviringisho fulan hii unaipata kwa bei poa kabisa Hair Roll
1 x Sh15,000.00
Sh15,000.00
Sh15,000.00
Cart totals

Cart totals

Subtotal Sh583,000.00
Shipment

Shipping to Dar es Salaam.

Total Sh583,000.00