Product Price Quantity Subtotal
× Slow Cookers Slowly cooking hii kama hauna haraka ya kupika ni nzur sana unabandika chakula chako kinaiva taratibu, unweza bandika chakula na kuondoka kwenda kazin ukirud unakuta kipo tayr ni kula tu Watts 230 #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afroboel #afrotaliatz Slow Cookers
2 x Sh80,000.00
Sh80,000.00
Sh160,000.00
× SEWING MACHINE Machine ndogo ya kushona nguo, ni kwa matumizi ya nyumban tu jaman usitembee na nguo iliyochanika, shona nguo yako mwenyewe kumbukeni kuna nguo zingine haziendi kwa fundi zile nguo za ndani kwaiyo ukipata machine kama hii itakisaidia kuzitengeneza nguo zako Hata kiraka unaweka tu Inatumia adapter na kikanyagio kimoja #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliatz Sewing Machine
1 x Sh110,000.00
Sh110,000.00
Sh110,000.00
× Scooter Hii unaendesha sehem yoyote inayofaa na ni salama kwa mtoto,hii brake yake ni ya nyuma unakanyaga kwa mguu tu! Inabeba maximum kg 50 #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afroboel #afrotaliaTz Scooter
1 x Sh50,000.00
Sh50,000.00
Sh50,000.00
× Electric Table Grill Grill ambayo ni rahis kuitumia, unaweza kuchoma nyama, samaki, kuku pia hii grill unaweza kufanya toast ya mkate kwa haraka bila kupoteza mda ni nzur sana ni mpya kabisa lakin imevunjika kwenye mkono wake Brand Raven Watts 900 #0686979377 #0757252557 Tupo Mikochen B Mwai Kibaki Road pembeni ya Nakiete pharmacy #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaaliaTz Electric Table Grill
2 x Sh80,000.00
Sh80,000.00
Sh160,000.00
Cart totals

Cart totals

Subtotal Sh480,000.00
Shipment

Shipping to Dar es Salaam.

Total Sh480,000.00