Product Price Quantity Subtotal
× Electric Table Grill Grill ambayo ni rahis kuitumia, unaweza kuchoma nyama, samaki, kuku pia hii grill unaweza kufanya toast ya mkate kwa haraka bila kupoteza mda ni nzur sana ni mpya kabisa lakin imevunjika kwenye mkono wake Brand Raven Watts 900 #0686979377 #0757252557 Tupo Mikochen B Mwai Kibaki Road pembeni ya Nakiete pharmacy #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaaliaTz Electric Table Grill
1 x Sh80,000.00
Sh80,000.00
Sh80,000.00
× EXTRACTOR JUICER Kwa wanaopenda juice ya karoti, apple , tango nk hii ndo majibu ya utengenezaji wa juice yako safi kabisa yenye ladha nzuri ya matunda hii huweki maji hata kidogo ni nzur sana Brand sencor Watts 600 Extractor Juicer
1 x Sh90,000.00
Sh90,000.00
Sh90,000.00
× SEWING MACHINE Machine ndogo ya kushona nguo, ni kwa matumizi ya nyumban tu jaman usitembee na nguo iliyochanika, shona nguo yako mwenyewe kumbukeni kuna nguo zingine haziendi kwa fundi zile nguo za ndani kwaiyo ukipata machine kama hii itakisaidia kuzitengeneza nguo zako Hata kiraka unaweka tu Inatumia adapter na kikanyagio kimoja #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliatz Sewing Machine
1 x Sh110,000.00
Sh110,000.00
Sh110,000.00
× Slow Cookers Slowly cooking hii kama hauna haraka ya kupika ni nzur sana unabandika chakula chako kinaiva taratibu, unweza bandika chakula na kuondoka kwenda kazin ukirud unakuta kipo tayr ni kula tu Watts 230 #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afroboel #afrotaliatz Slow Cookers
1 x Sh80,000.00
Sh80,000.00
Sh80,000.00
× Mower Grass Cutter Weka mazingira safi kwa garden yako usiachie majani yawe kichaka yataficha wdudu hatarishi kwa afya zetu hizi zipo chache sana wahi mapema upate yako kwa bei chee Zaid Brand flymo Watts 1400 Mower
1 x Sh150,000.00
Sh150,000.00
Sh150,000.00
× Deep fryer Kaangaa chips, nyama, kuku, ndizi, maandazi na hii deep fryer inatumia mafuta, hii inakurahisishia kazi za jikon na pia kuokoa mda wa kukaa jikon Brand George home Watts 1800 #0686979377 #0757252557 Tupo Mikochen B Mwai Kibaki Road pembeni ya Nakiete pharmacy #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaaliaTzq Deep Fryers
1 x Sh50,000.00
Sh50,000.00
Sh50,000.00
× Dehydrator Unawezakaushia vyakula na matunda mbalimbali kwa haraka Zaid inatumia umeme Brand cosori from Germany Watts 500 Food Dehydrator
1 x Sh120,000.00
Sh120,000.00
Sh120,000.00
× HAND BLENDER Complete set Ni rahisi sana kuitumia hand blender kwa kitengeneza juicer ya matunda, kublender mtori, au chakula cha mtoto, Hii unaweka tu kwenye chombo na kuanza kublende Inatumia umeme Brand indeenwelt Watts 600 Hand Blender with jug
1 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh25,000.00
× Hand Mixer Usipata tabu kutumia nguvu nyingi kuchanganya unga wa cake na mwiko tumia machine hii itakayokirahisishia kazi yako kwa haraka pia inasaidia usitumie muda mwingi zaid kwa bei nzur kabisa hiz zipo chache sana jaman kama ulikosa sasa zipo dukan Brand hoffen Watts 300 #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliaTz Hand Mixer
1 x Sh50,000.00
Sh50,000.00
Sh50,000.00
Cart totals

Cart totals

Subtotal Sh755,000.00
Shipment

Shipping to Dar es Salaam.

Total Sh755,000.00