Product Price Quantity Subtotal
× SEWING MACHINE Machine ndogo ya kushona nguo, ni kwa matumizi ya nyumban tu jaman usitembee na nguo iliyochanika, shona nguo yako mwenyewe kumbukeni kuna nguo zingine haziendi kwa fundi zile nguo za ndani kwaiyo ukipata machine kama hii itakisaidia kuzitengeneza nguo zako Hata kiraka unaweka tu Inatumia adapter na kikanyagio kimoja #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliatz Sewing Machine
1 x Sh110,000.00
Sh110,000.00
Sh110,000.00
× EXTRACTOR JUICER Kwa wanaopenda juice ya karoti, apple , tango nk hii ndo majibu ya utengenezaji wa juice yako safi kabisa yenye ladha nzuri ya matunda hii huweki maji hata kidogo ni nzur sana Brand sencor Watts 600 Extractor Juicer
1 x Sh90,000.00
Sh90,000.00
Sh90,000.00
× Electric Table Grill Grill ambayo ni rahis kuitumia, unaweza kuchoma nyama, samaki, kuku pia hii grill unaweza kufanya toast ya mkate kwa haraka bila kupoteza mda ni nzur sana ni mpya kabisa lakin imevunjika kwenye mkono wake Brand Raven Watts 900 #0686979377 #0757252557 Tupo Mikochen B Mwai Kibaki Road pembeni ya Nakiete pharmacy #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaaliaTz Electric Table Grill
1 x Sh80,000.00
Sh80,000.00
Sh80,000.00
Cart totals

Cart totals

Subtotal Sh280,000.00
Shipment

Shipping to Dar es Salaam.

Total Sh280,000.00