Product Price Quantity Subtotal
× Vacuum Cleaner Hii inavuta mavumbi kwenye carpet, mazulia, madirisha ya wavu inafilter na tank la kuhifadhia mavumbi kwa mda litakapo jaa unafungua na kwenda kutupa ni nzur sana na powerful Watts 1800 #0686979377 #0757252557 Tupo Mikochen B Mwai Kibaki Road pembeni ya Nakiete pharmacy #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliaTz Vacuum Cleaner
1 x Sh200,000.00
Sh200,000.00
Sh200,000.00
× Hand Mixer Usipata tabu kutumia nguvu nyingi kuchanganya unga wa cake na mwiko tumia machine hii itakayokirahisishia kazi yako kwa haraka pia inasaidia usitumie muda mwingi zaid kwa bei nzur kabisa hiz zipo chache sana jaman kama ulikosa sasa zipo dukan Brand hoffen Watts 300 #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliaTz Hand Mixer
1 x Sh50,000.00
Sh50,000.00
Sh50,000.00
× WATER PURIFIER chujio la maji, linachuja maji yasio safi kuwa maji safi kwa ajili ya kutumia kunywa Hii unatumia badala ya kuchemsha maji basi unayachuja tu kisha unakunywa maji yakiwa tayr ni masafi. Water Purifier
1 x Sh13,000.00
Sh13,000.00
Sh13,000.00
× Rice cooker inapika wali na steaming mbogamboga ni nzuri sana lita 1.8 watts 700 Rice cooker 1.8 liter
1 x Sh75,000.00
Sh75,000.00
Sh75,000.00
× PAPPER SHREDDER shredder ya kuchanachana documents au karatasi zisizo hitajika usichane karatasi kwa mikono unachafua mazingira jaman hii inakurahisishia kazi yako ya kuchana makaratasi au documents ambazo hazítakiwi kuonekana Watts 150 Bei 25,000 Tupo Mikochen B Mwai Kibaki Road karibu na Nakiete pharmacy #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliaTz Paper shredder
1 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh25,000.00
× Blender ya mkono unatumia kutengenezea juice, mtoro chakula cha mtoto nk Unaweza tumia kwa biashara pia ni nzut sana Brand hoffen from Germany Watts 1000 Hand Blender
1 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh25,000.00
Cart totals

Cart totals

Subtotal Sh388,000.00
Shipment

Shipping to Dar es Salaam.

Total Sh388,000.00