Product Price Quantity Subtotal
× IPAD KEYBOARD Jaman usipate shide kushikilia ipad yako kwa unachoka pia unaweza iangusha bahati mbaya ila ukiweka na hii keyboard ni salama zaid na pia rahisi kutumia ipad yako zipo chache sana size ya ipad ni 9.7 wahi mapema upate yako IPAD Keyboard
1 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh25,000.00
× SEWING MACHINE Machine ndogo ya kushona nguo, ni kwa matumizi ya nyumban tu jaman usitembee na nguo iliyochanika, shona nguo yako mwenyewe kumbukeni kuna nguo zingine haziendi kwa fundi zile nguo za ndani kwaiyo ukipata machine kama hii itakisaidia kuzitengeneza nguo zako Hata kiraka unaweka tu Inatumia adapter na kikanyagio kimoja #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliatz Sewing Machine
1 x Sh110,000.00
Sh110,000.00
Sh110,000.00
× HAND MIXER Usipata tabu kutumia nguvu nyingi kuchanganya unga wa cake 🎂 na mwiko tumia machine hii itakayokirahisishia kazi yako kwa haraka pia inasaidia usitumie muda mwingi zaid kwa bei nzur kabisa hiz zipo chache sana jaman kama ulikosa sasa zipo dukan Brand gotze & Jensen from Germany Watts 300 handmixer
1 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh25,000.00
Cart totals

Cart totals

Subtotal Sh160,000.00
Shipment

Shipping to Dar es Salaam.

Total Sh160,000.00