Product Price Quantity Subtotal
× Microwaveoven Microwaveoven unapasha chakula chochote pia unaweza choma nyama ndizi, soup, samaki, mboga za majani na vingine vingi zaid pia ni auto cook Lita 20 Watts 800 Microwave
2 x Sh45,000.00
Sh45,000.00
Sh90,000.00
× FAST COOLER Jaman hii fast cooler ni hatar sana ina ubarid mzur sana unaweka maji ya baridi au ice cube unaiwasha inakupa ubarid mzuri kwbisa Ila hii ni ya mtu mmoja tu hasa ofisin unaitumia, kwa nyumban unaiweka pemben yako ndo inakupuliza Fast Cooler
2 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh50,000.00
× EXTRACTOR JUICER Kwa wanaopenda juice ya karoti, apple , tango nk hii ndo majibu ya utengenezaji wa juice yako safi kabisa yenye ladha nzuri ya matunda hii huweki maji hata kidogo ni nzur sana Brand sencor Watts 600 Extractor Juicer
1 x Sh75,000.00
Sh75,000.00
Sh75,000.00
× Oven Oven
1 x Sh75,000.00
Sh75,000.00
Sh75,000.00
× CHEESE GRATER Hii grater ni ya kuchaji, inatumika kukatakata matunda kwa kama Apple, viaz mbatata, karot kwa ajili ya kutengenezea cheese 🧀 Cheese yako unaweza itumia kwa kupigia sandwich, waffle nk ni nzur sana Cheese Grater Electric
1 x Sh13,000.00
Sh13,000.00
Sh13,000.00
× Stainless Steel flowers vessel Vessel za maua pendezesha nyumba yako kwa kuweka maua yako hapo kitu amazing kabisa hiz zinauzwa kwa mbili kama zilivyo hapo na zipo hiz tu wahi uwe wa kwanza kuzipata Stainless Steel Flowers Vessel
1 x Sh40,000.00
Sh40,000.00
Sh40,000.00
× BREAD TOASTER Toaster za kupasha na kuukausha mkate, pia zinabadilisha rangi ya mkate na kuwa brown, Zipo zimekuja chache sana jaman Brand Raven kutoka Germany Watts 800 Bread Toaster Double slice
1 x Sh18,000.00
Sh18,000.00
Sh18,000.00
Cart totals

Cart totals

Subtotal Sh361,000.00
Shipment

Shipping to Dar es Salaam.

Total Sh361,000.00