Product Price Quantity Subtotal
× ROLLER SKATE'S SHOES Viatu vya matairi hivi unaweza tembelea maeneo mbalimbali kwa barabara zilizopo karibu na ufukwe wa bahari piq zinasaidia kwa safari ndogo ndogo au mishen town vipo vichache sana, Namba ya kiatu ni 38_39 Roller Skate Shoes
1 x Sh60,000.00
Sh60,000.00
Sh60,000.00
× CHEESE GRATER Hii ni mashine maalumu kabisa inayotumika kukwangua cheez,inatumia umeme NA battery ni nzur sana hii,mpya kabisa wahi ujipatie yakwako Mpya kabisaa Watts -12 Cheese Grater
1 x Sh8,000.00
Sh8,000.00
Sh8,000.00
× FAST COOLER Jaman hii fast cooler ni hatar sana ina ubarid mzur sana unaweka maji ya baridi au ice cube unaiwasha inakupa ubarid mzuri kwbisa Ila hii ni ya mtu mmoja tu hasa ofisin unaitumia, kwa nyumban unaiweka pemben yako ndo inakupuliza Fast Cooler
1 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh25,000.00
× ESPRESSO MACHINE hii machine unaeza tengeneza coffee na cupccino uliyochenganywa maziwa au vanilla nk ni nzur sana Brand DCG Watts 1000 Espresso Coffee Machine
1 x Sh150,000.00
Sh150,000.00
Sh150,000.00
× EXTRACTOR JUICER Kwa wanaopenda juice ya karoti, apple , tango nk hii ndo majibu ya utengenezaji wa juice yako safi kabisa yenye ladha nzuri ya matunda hii huweki maji hata kidogo ni nzur sana Brand sencor Watts 600 Extractor Juicer
1 x Sh75,000.00
Sh75,000.00
Sh75,000.00
× Microwaveoven Microwaveoven unapasha chakula chochote pia unaweza choma nyama ndizi, soup, samaki, mboga za majani na vingine vingi zaid pia ni auto cook Lita 20 Watts 800 Microwave
1 x Sh45,000.00
Sh45,000.00
Sh45,000.00
Cart totals

Cart totals

Subtotal Sh363,000.00
Shipment

Shipping to Dar es Salaam.

Total Sh363,000.00