Product Price Quantity Subtotal
× GARDEN LIGHT Taa nzur ya kuweka nje sehem ya garden yako pia unaweza weka sehem ya njia ya getin inatafanya sehem yako kuinekana vizur zaid na ni water proof Garden Light
1 x Sh23,000.00
Sh23,000.00
Sh23,000.00
× IPAD KEYBOARD Jaman usipate shide kushikilia ipad yako kwa unachoka pia unaweza iangusha bahati mbaya ila ukiweka na hii keyboard ni salama zaid na pia rahisi kutumia ipad yako zipo chache sana size ya ipad ni 9.7 wahi mapema upate yako IPAD Keyboard
1 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh25,000.00
× Hand Mixer Usipata tabu kutumia nguvu nyingi kuchanganya unga wa cake na mwiko tumia machine hii itakayokirahisishia kazi yako kwa haraka pia inasaidia usitumie muda mwingi zaid kwa bei nzur kabisa hiz zipo chache sana jaman kama ulikosa sasa zipo dukan Brand hoffen Watts 300 #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliaTz Hand Mixer
1 x Sh50,000.00
Sh50,000.00
Sh50,000.00
× KITCHEN SCALE ⚖️ Balance kwenye kuchanganya viungo kwenye chakula unachipika epuka kuzidisha viungo Huu mzani unapima kuanzia Gram moja hadi kg5 Kitchen Scale
1 x Sh13,000.00
Sh13,000.00
Sh13,000.00
Cart totals

Cart totals

Subtotal Sh111,000.00
Shipment

Shipping to Dar es Salaam.

Total Sh111,000.00