Product Price Quantity Subtotal
× Slow Cookers Slowly cooking hii kama hauna haraka ya kupika ni nzur sana unabandika chakula chako kinaiva taratibu, unweza bandika chakula na kuondoka kwenda kazin ukirud unakuta kipo tayr ni kula tu Watts 230 #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afroboel #afrotaliatz Slow Cookers
1 x Sh80,000.00
Sh80,000.00
Sh80,000.00
× SEWING MACHINE Machine ndogo ya kushona nguo, ni kwa matumizi ya nyumban tu jaman usitembee na nguo iliyochanika, shona nguo yako mwenyewe kumbukeni kuna nguo zingine haziendi kwa fundi zile nguo za ndani kwaiyo ukipata machine kama hii itakisaidia kuzitengeneza nguo zako Hata kiraka unaweka tu Inatumia adapter na kikanyagio kimoja #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliatz Sewing Machine
2 x Sh110,000.00
Sh110,000.00
Sh220,000.00
× Hair roll Weka nywele zako katika muonekano tofauti na hair roll zetu, unaviringisha nywele inatoka na mawimbi wa kipekee kabisa yaan kama kamviringisho fulan hii unaipata kwa bei poa kabisa Hair Roll
1 x Sh15,000.00
Sh15,000.00
Sh15,000.00
× BURGER GRILL Hii ni kwa ajili ya Baga jaman, pia mkate unaweza kupasha pia hiz zipo chache zipo tatu kwa bei sawa na bure ni nzur sana. Brand Breville Watts 1000 Burger Grill
1 x Sh30,000.00
Sh30,000.00
Sh30,000.00
× FAST COOLER Jaman hii fast cooler ni hatar sana ina ubarid mzur sana unaweka maji ya baridi au ice cube unaiwasha inakupa ubarid mzuri kwbisa Ila hii ni ya mtu mmoja tu hasa ofisin unaitumia, kwa nyumban unaiweka pemben yako ndo inakupuliza Fast Cooler
1 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh25,000.00
Cart totals

Cart totals

Subtotal Sh370,000.00
Shipment

Shipping to Dar es Salaam.

Total Sh370,000.00