Product Price Quantity Subtotal
× Vacuum Cleaner Hii inavuta mavumbi kwenye carpet, mazulia, madirisha ya wavu inafilter na tank la kuhifadhia mavumbi kwa mda litakapo jaa unafungua na kwenda kutupa ni nzur sana na powerful Watts 1800 #0686979377 #0757252557 Tupo Mikochen B Mwai Kibaki Road pembeni ya Nakiete pharmacy #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliaTz Vacuum Cleaner
1 x Sh200,000.00
Sh200,000.00
Sh200,000.00
× Uv Light Hizi unatumia kukaushia rangi za kucha gel Zinamwanga wa blue kwa ajili ya kukausha huu mwanga una kuwa na joto joto yaan warm light #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afroboel #afrotaliatz UV Bloom Light
1 x Sh20,000.00
Sh20,000.00
Sh20,000.00
× KEYBOARD ⌨️ Led keyboards hiz kwa matumizi ya ofisin, labrary zinafaa sana ni nzur zinakuwa zinawaka taa unapoziunganisha na CPU tayr kwa matumiz Brand mad_dog Keyboard
1 x Sh5,000.00
Sh5,000.00
Sh5,000.00
× WATER PURIFIER chujio la maji, linachuja maji yasio safi kuwa maji safi kwa ajili ya kutumia kunywa Hii unatumia badala ya kuchemsha maji basi unayachuja tu kisha unakunywa maji yakiwa tayr ni masafi. Water Purifier
1 x Sh13,000.00
Sh13,000.00
Sh13,000.00
× Microwaveoven Microwaveoven unapasha chakula chochote pia unaweza choma nyama ndizi, soup, samaki, mboga za majani na vingine vingi zaid pia ni auto cook Lita 20 Watts 800 Microwave
1 x Sh45,000.00
Sh45,000.00
Sh45,000.00
× BURGER GRILL Hii ni kwa ajili ya Baga jaman, pia mkate unaweza kupasha pia hiz zipo chache zipo tatu kwa bei sawa na bure ni nzur sana. Brand Breville Watts 1000 Burger Grill
1 x Sh30,000.00
Sh30,000.00
Sh30,000.00
× SANDWICH MAKRE 🥪 Tengeneza chakula ikipendacho kwa ajili ya nyumban na familia kwa bei cheeee kabisa hiz unachanganya mayai, saladi na vingi unavyopenda kuweka kwenye sandwich Brand hoffen from Germany Watts 750 Sandwitch Maker
1 x Sh10,000.00
Sh10,000.00
Sh10,000.00
Cart totals

Cart totals

Subtotal Sh323,000.00
Shipment

Shipping to Dar es Salaam.

Total Sh323,000.00