Product Price Quantity Subtotal
× BURGER GRILL Hii ni kwa ajili ya Baga jaman, pia mkate unaweza kupasha pia hiz zipo chache zipo tatu kwa bei sawa na bure ni nzur sana. Brand Breville Watts 1000 Burger Grill
1 x Sh30,000.00
Sh30,000.00
Sh30,000.00
× Vacuum Cleaner Hii inavuta mavumbi kwenye carpet, mazulia, madirisha ya wavu inafilter na tank la kuhifadhia mavumbi kwa mda litakapo jaa unafungua na kwenda kutupa ni nzur sana na powerful Watts 1800 #0686979377 #0757252557 Tupo Mikochen B Mwai Kibaki Road pembeni ya Nakiete pharmacy #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliaTz Vacuum Cleaner
1 x Sh200,000.00
Sh200,000.00
Sh200,000.00
× Slow Cookers Slowly cooking hii kama hauna haraka ya kupika ni nzur sana unabandika chakula chako kinaiva taratibu, unweza bandika chakula na kuondoka kwenda kazin ukirud unakuta kipo tayr ni kula tu Watts 230 #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afroboel #afrotaliatz Slow Cookers
1 x Sh80,000.00
Sh80,000.00
Sh80,000.00
× Meal Maker/Red Copper Meal Maker/Red Copper
1 x Sh10,000.00
Sh10,000.00
Sh10,000.00
× SEWING MACHINE Machine ndogo ya kushona nguo, ni kwa matumizi ya nyumban tu jaman usitembee na nguo iliyochanika, shona nguo yako mwenyewe kumbukeni kuna nguo zingine haziendi kwa fundi zile nguo za ndani kwaiyo ukipata machine kama hii itakisaidia kuzitengeneza nguo zako Hata kiraka unaweka tu Inatumia adapter na kikanyagio kimoja #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliatz Sewing Machine
1 x Sh110,000.00
Sh110,000.00
Sh110,000.00
× GARDEN LIGHT Taa nzur ya kuweka nje sehem ya garden yako pia unaweza weka sehem ya njia ya getin inatafanya sehem yako kuinekana vizur zaid na ni water proof Garden Light
1 x Sh23,000.00
Sh23,000.00
Sh23,000.00
Cart totals

Cart totals

Subtotal Sh453,000.00
Shipment

Shipping to Dar es Salaam.

Total Sh453,000.00