Product Price Quantity Subtotal
× IPAD KEYBOARD Jaman usipate shide kushikilia ipad yako kwa unachoka pia unaweza iangusha bahati mbaya ila ukiweka na hii keyboard ni salama zaid na pia rahisi kutumia ipad yako zipo chache sana size ya ipad ni 9.7 wahi mapema upate yako IPAD Keyboard
1 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh25,000.00
× EXTRACTOR JUICER Kwa wanaopenda juice ya karoti, apple , tango nk hii ndo majibu ya utengenezaji wa juice yako safi kabisa yenye ladha nzuri ya matunda hii huweki maji hata kidogo ni nzur sana Brand sencor Watts 600 Extractor Juicer
1 x Sh75,000.00
Sh75,000.00
Sh75,000.00
× KEYBOARD ⌨️ Led keyboards hiz kwa matumizi ya ofisin, labrary zinafaa sana ni nzur zinakuwa zinawaka taa unapoziunganisha na CPU tayr kwa matumiz Brand mad_dog Keyboard
1 x Sh5,000.00
Sh5,000.00
Sh5,000.00
× FAST COOLER Jaman hii fast cooler ni hatar sana ina ubarid mzur sana unaweka maji ya baridi au ice cube unaiwasha inakupa ubarid mzuri kwbisa Ila hii ni ya mtu mmoja tu hasa ofisin unaitumia, kwa nyumban unaiweka pemben yako ndo inakupuliza Fast Cooler
1 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh25,000.00
× GARDEN LIGHT Taa nzur ya kuweka nje sehem ya garden yako pia unaweza weka sehem ya njia ya getin inatafanya sehem yako kuinekana vizur zaid na ni water proof Garden Light
1 x Sh23,000.00
Sh23,000.00
Sh23,000.00
Cart totals

Cart totals

Subtotal Sh153,000.00
Shipment

Shipping to Dar es Salaam.

Total Sh153,000.00