Product Price Quantity Subtotal
× Grinder Hii inasaga mbegu za kahawa pia inaweza saga vitu vikavu kama karanga mbegu za maboga Michele.nk Ni nzuri na imara sana Brand; Hoffen from Germany Watts 170 Grinder
1 x Sh20,000.00
Sh20,000.00
Sh20,000.00
× Mower Grass Cutter Weka mazingira safi kwa garden yako usiachie majani yawe kichaka yataficha wdudu hatarishi kwa afya zetu hizi zipo chache sana wahi mapema upate yako kwa bei chee Zaid Brand flymo Watts 1400 Mower
1 x Sh150,000.00
Sh150,000.00
Sh150,000.00
× HAND BLENDER Complete set Ni rahisi sana kuitumia hand blender kwa kitengeneza juicer ya matunda, kublender mtori, au chakula cha mtoto, Hii unaweka tu kwenye chombo na kuanza kublende Inatumia umeme Brand indeenwelt Watts 600 Hand Blender with jug
1 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh25,000.00
× ROLLER SKATE'S SHOES Viatu vya matairi hivi unaweza tembelea maeneo mbalimbali kwa barabara zilizopo karibu na ufukwe wa bahari piq zinasaidia kwa safari ndogo ndogo au mishen town vipo vichache sana, Namba ya kiatu ni 38_39 Roller Skate Shoes
1 x Sh60,000.00
Sh60,000.00
Sh60,000.00
× KEYBOARD ⌨️ Led keyboards hiz kwa matumizi ya ofisin, labrary zinafaa sana ni nzur zinakuwa zinawaka taa unapoziunganisha na CPU tayr kwa matumiz Brand mad_dog Keyboard
1 x Sh5,000.00
Sh5,000.00
Sh5,000.00
× EXTRACTOR JUICER Kwa wanaopenda juice ya karoti, apple , tango nk hii ndo majibu ya utengenezaji wa juice yako safi kabisa yenye ladha nzuri ya matunda hii huweki maji hata kidogo ni nzur sana Brand sencor Watts 600 Extractor Juicer
1 x Sh75,000.00
Sh75,000.00
Sh75,000.00
× Food Slicer Food Slicer
1 x Sh15,000.00
Sh15,000.00
Sh15,000.00
× CHEESE GRATER Hii ni mashine maalumu kabisa inayotumika kukwangua cheez,inatumia umeme NA battery ni nzur sana hii,mpya kabisa wahi ujipatie yakwako Mpya kabisaa Watts -12 Cheese Grater
2 x Sh8,000.00
Sh8,000.00
Sh16,000.00
× FAST COOLER Jaman hii fast cooler ni hatar sana ina ubarid mzur sana unaweka maji ya baridi au ice cube unaiwasha inakupa ubarid mzuri kwbisa Ila hii ni ya mtu mmoja tu hasa ofisin unaitumia, kwa nyumban unaiweka pemben yako ndo inakupuliza Fast Cooler
1 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh25,000.00
Cart totals

Cart totals

Subtotal Sh391,000.00
Shipment

Shipping to Dar es Salaam.

Total Sh391,000.00