Product Price Quantity Subtotal
× Electric kettle Jaman jaman majag yamekuja mazur mnooo mzigo mpya yapo aina nyingi tofauti kwa bei ile ile ya ofa, hata majag yapo mapya na used Watts 2200 Electric Kettle
1 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh25,000.00
× HAND MIXER Usipata tabu kutumia nguvu nyingi kuchanganya unga wa cake 🎂 na mwiko tumia machine hii itakayokirahisishia kazi yako kwa haraka pia inasaidia usitumie muda mwingi zaid kwa bei nzur kabisa hiz zipo chache sana jaman kama ulikosa sasa zipo dukan Brand gotze & Jensen from Germany Watts 300 handmixer
1 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh25,000.00
× BURGER GRILL Hii ni kwa ajili ya Baga jaman, pia mkate unaweza kupasha pia hiz zipo chache zipo tatu kwa bei sawa na bure ni nzur sana. Brand Breville Watts 1000 Burger Grill
1 x Sh30,000.00
Sh30,000.00
Sh30,000.00
× SEWING MACHINE Machine ndogo ya kushona nguo, ni kwa matumizi ya nyumban tu jaman usitembee na nguo iliyochanika, shona nguo yako mwenyewe kumbukeni kuna nguo zingine haziendi kwa fundi zile nguo za ndani kwaiyo ukipata machine kama hii itakisaidia kuzitengeneza nguo zako Hata kiraka unaweka tu Inatumia adapter na kikanyagio kimoja #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliatz Sewing Machine
1 x Sh110,000.00
Sh110,000.00
Sh110,000.00
× FAST COOLER Jaman hii fast cooler ni hatar sana ina ubarid mzur sana unaweka maji ya baridi au ice cube unaiwasha inakupa ubarid mzuri kwbisa Ila hii ni ya mtu mmoja tu hasa ofisin unaitumia, kwa nyumban unaiweka pemben yako ndo inakupuliza Fast Cooler
1 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh25,000.00
Cart totals

Cart totals

Subtotal Sh215,000.00
Shipment

Shipping to Dar es Salaam.

Total Sh215,000.00