Product Price Quantity Subtotal
× SLOW COOKER Slowly cooking hii kama hauna haraka ya kupika ni nzur sana unabandika chakula chako kinaiva taratibu, unweza bandika chakula na kuondoka kwenda kazin ukirud unakuta kipo tayr ni kula tu Brand crock pot from Germany Watts 230 Slow Cooker
1 x Sh60,000.00
Sh60,000.00
Sh60,000.00
× Electric Table Grill Grill ambayo ni rahis kuitumia, unaweza kuchoma nyama, samaki, kuku pia hii grill unaweza kufanya toast ya mkate kwa haraka bila kupoteza mda ni nzur sana ni mpya kabisa lakin imevunjika kwenye mkono wake Brand Raven Watts 900 #0686979377 #0757252557 Tupo Mikochen B Mwai Kibaki Road pembeni ya Nakiete pharmacy #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaaliaTz Electric Table Grill
1 x Sh80,000.00
Sh80,000.00
Sh80,000.00
× EXTRACTOR JUICER Kwa wanaopenda juice ya karoti, apple , tango nk hii ndo majibu ya utengenezaji wa juice yako safi kabisa yenye ladha nzuri ya matunda hii huweki maji hata kidogo ni nzur sana Brand sencor Watts 600 Extractor Juicer
1 x Sh75,000.00
Sh75,000.00
Sh75,000.00
× Electric kettle Jaman jaman majag yamekuja mazur mnooo mzigo mpya yapo aina nyingi tofauti kwa bei ile ile ya ofa, hata majag yapo mapya na used Watts 2200 Electric Kettle
1 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh25,000.00
× ROLLER SKATE'S SHOES Viatu vya matairi hivi unaweza tembelea maeneo mbalimbali kwa barabara zilizopo karibu na ufukwe wa bahari piq zinasaidia kwa safari ndogo ndogo au mishen town vipo vichache sana, Namba ya kiatu ni 38_39 Roller Skate Shoes
1 x Sh60,000.00
Sh60,000.00
Sh60,000.00
× Dehydrator Unawezakaushia vyakula na matunda mbalimbali kwa haraka Zaid inatumia umeme Brand cosori from Germany Watts 500 Food Dehydrator
1 x Sh120,000.00
Sh120,000.00
Sh120,000.00
Cart totals

Cart totals

Subtotal Sh420,000.00
Shipment

Shipping to Dar es Salaam.

Total Sh420,000.00