Product Price Quantity Subtotal
× IPAD KEYBOARD Jaman usipate shide kushikilia ipad yako kwa unachoka pia unaweza iangusha bahati mbaya ila ukiweka na hii keyboard ni salama zaid na pia rahisi kutumia ipad yako zipo chache sana size ya ipad ni 9.7 wahi mapema upate yako IPAD Keyboard
2 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh50,000.00
× Grinder Hii inasaga mbegu za kahawa pia inaweza saga vitu vikavu kama karanga mbegu za maboga Michele.nk Ni nzuri na imara sana Brand; Hoffen from Germany Watts 170 Grinder
1 x Sh20,000.00
Sh20,000.00
Sh20,000.00
× EXTRACTOR JUICER Kwa wanaopenda juice ya karoti, apple , tango nk hii ndo majibu ya utengenezaji wa juice yako safi kabisa yenye ladha nzuri ya matunda hii huweki maji hata kidogo ni nzur sana Brand sencor Watts 600 Extractor Juicer
1 x Sh75,000.00
Sh75,000.00
Sh75,000.00
× 3in1 handblender Je umepata hii heavy-duty blender ya mkono?jaman zimebaki chache sana kama bado wahi mapema upate yako unablend juice 🥤 kwa jug tu pia unaitumia kuchanganyia mayai, na unaweza kuchopp yaan kukata kata viungo kam karoti, kitunguu, tangawizi, nyanya, nyama nk Brand gotze jensen from Germany Watts 800 Hand blender 3in1
1 x Sh40,000.00
Sh40,000.00
Sh40,000.00
Cart totals

Cart totals

Subtotal Sh185,000.00
Shipment

Shipping to Dar es Salaam.

Total Sh185,000.00