Product Price Quantity Subtotal
× FAST COOLER Jaman hii fast cooler ni hatar sana ina ubarid mzur sana unaweka maji ya baridi au ice cube unaiwasha inakupa ubarid mzuri kwbisa Ila hii ni ya mtu mmoja tu hasa ofisin unaitumia, kwa nyumban unaiweka pemben yako ndo inakupuliza Fast Cooler
1 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh25,000.00
× Food Dehydrtor Dehydrator ya kukaushia vyakula, matunda wanaopenda kula vitu vikavu huu ni wakati wao kwa bei nzur na rahisi zaid unaweza kukausha hata mbogamboga za majani Brand gotze and jensen Watts 245 #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliaTz Food Dehydrator
1 x Sh180,000.00
Sh180,000.00
Sh180,000.00
× EXTRACTOR JUICER Kwa wanaopenda juice ya karoti, apple , tango nk hii ndo majibu ya utengenezaji wa juice yako safi kabisa yenye ladha nzuri ya matunda hii huweki maji hata kidogo ni nzur sana Brand sencor Watts 600 Extractor Juicer
1 x Sh75,000.00
Sh75,000.00
Sh75,000.00
× HAND MIXER Usipata tabu kutumia nguvu nyingi kuchanganya unga wa cake 🎂 na mwiko tumia machine hii itakayokirahisishia kazi yako kwa haraka pia inasaidia usitumie muda mwingi zaid kwa bei nzur kabisa hiz zipo chache sana jaman kama ulikosa sasa zipo dukan Brand gotze & Jensen from Germany Watts 300 handmixer
1 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh25,000.00
Cart totals

Cart totals

Subtotal Sh305,000.00
Shipment

Shipping to Dar es Salaam.

Total Sh305,000.00