Product Price Quantity Subtotal
× GARDEN LIGHT Taa nzur ya kuweka nje sehem ya garden yako pia unaweza weka sehem ya njia ya getin inatafanya sehem yako kuinekana vizur zaid na ni water proof Garden Light
1 x Sh23,000.00
Sh23,000.00
Sh23,000.00
× FAST COOLER Jaman hii fast cooler ni hatar sana ina ubarid mzur sana unaweka maji ya baridi au ice cube unaiwasha inakupa ubarid mzuri kwbisa Ila hii ni ya mtu mmoja tu hasa ofisin unaitumia, kwa nyumban unaiweka pemben yako ndo inakupuliza Fast Cooler
2 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh50,000.00
× Microwaveoven Microwaveoven unapasha chakula chochote pia unaweza choma nyama ndizi, soup, samaki, mboga za majani na vingine vingi zaid pia ni auto cook Lita 20 Watts 800 Microwave
1 x Sh45,000.00
Sh45,000.00
Sh45,000.00
× Pepper and Salt Grinder pepper and salt grinder, manual use, gives very soft granulates for real food taste, in addition to its smooth and nice design Pepper & Salt Grinder
1 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh25,000.00
× COFFEE MACHINE inatengeneza kahawa nyeusi,inasaga mbegu za kahawa pia inatumia kahawa iliyosagwa tayar(unga wa kahawa) Brand BEEM Watts 820 Coffee Maker
1 x Sh45,000.00
Sh45,000.00
Sh45,000.00
× EXTRACTOR JUICER Kwa wanaopenda juice ya karoti, apple , tango nk hii ndo majibu ya utengenezaji wa juice yako safi kabisa yenye ladha nzuri ya matunda hii huweki maji hata kidogo ni nzur sana Brand sencor Watts 600 Extractor Juicer
1 x Sh75,000.00
Sh75,000.00
Sh75,000.00
× POPCORN MAKER Machine ya kutengenezea popcorn, wafanye wanao kuwa na furaha zaid kuwatengenezea popcorn nyumban tu usiende kununua mliki ya kwako ndogondogo ya nyumban tu kwa bei chee Zipo chache sana, haina mfuniko Watts 1200 Popcorn Maker
1 x Sh30,000.00
Sh30,000.00
Sh30,000.00
Cart totals

Cart totals

Subtotal Sh293,000.00
Shipment

Shipping to Dar es Salaam.

Total Sh293,000.00