Product Price Quantity Subtotal
× 3in1 handblender Je umepata hii heavy-duty blender ya mkono?jaman zimebaki chache sana kama bado wahi mapema upate yako unablend juice 🥤 kwa jug tu pia unaitumia kuchanganyia mayai, na unaweza kuchopp yaan kukata kata viungo kam karoti, kitunguu, tangawizi, nyanya, nyama nk Brand gotze jensen from Germany Watts 800 Hand blender 3in1
1 x Sh40,000.00
Sh40,000.00
Sh40,000.00
× FAST COOLER Jaman hii fast cooler ni hatar sana ina ubarid mzur sana unaweka maji ya baridi au ice cube unaiwasha inakupa ubarid mzuri kwbisa Ila hii ni ya mtu mmoja tu hasa ofisin unaitumia, kwa nyumban unaiweka pemben yako ndo inakupuliza Fast Cooler
1 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh25,000.00
× SEWING MACHINE Machine ndogo ya kushona nguo, ni kwa matumizi ya nyumban tu jaman usitembee na nguo iliyochanika, shona nguo yako mwenyewe kumbukeni kuna nguo zingine haziendi kwa fundi zile nguo za ndani kwaiyo ukipata machine kama hii itakisaidia kuzitengeneza nguo zako Hata kiraka unaweka tu Inatumia adapter na kikanyagio kimoja #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliatz Sewing Machine
1 x Sh110,000.00
Sh110,000.00
Sh110,000.00
× EXTRACTOR JUICER Kwa wanaopenda juice ya karoti, apple , tango nk hii ndo majibu ya utengenezaji wa juice yako safi kabisa yenye ladha nzuri ya matunda hii huweki maji hata kidogo ni nzur sana Brand sencor Watts 600 Extractor Juicer
1 x Sh75,000.00
Sh75,000.00
Sh75,000.00
× Waffle Maker Kwa bei ya ofa tuendele kuweka oda Tengeneza waffles ukiwa nyumban kwa ajili ya familia yako wafanye wanao kuwa na furaha asubuh wanapo amka na kukuta delicious food mezan kila wakipendacho watoto ni muhimu sana kwa familia Watts 1400 Brand milla home from Germany Bei 35,000 #0686979377 #0757252557 Tupo Mikochen B Mwai Kibak Road pembeni ya Nakiete pharmacy #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliaTz Waffle Maker
1 x Sh35,000.00
Sh35,000.00
Sh35,000.00
× Slow Cookers Slowly cooking hii kama hauna haraka ya kupika ni nzur sana unabandika chakula chako kinaiva taratibu, unweza bandika chakula na kuondoka kwenda kazin ukirud unakuta kipo tayr ni kula tu Watts 230 #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afroboel #afrotaliatz Slow Cookers
1 x Sh80,000.00
Sh80,000.00
Sh80,000.00
× POPCORN MAKER Machine ya kutengenezea popcorn, wafanye wanao kuwa na furaha zaid kuwatengenezea popcorn nyumban tu usiende kununua mliki ya kwako ndogondogo ya nyumban tu kwa bei chee Zipo chache sana, haina mfuniko Watts 1200 Popcorn Maker
1 x Sh30,000.00
Sh30,000.00
Sh30,000.00
Cart totals

Cart totals

Subtotal Sh395,000.00
Shipment

Shipping to Dar es Salaam.

Total Sh395,000.00