Product Price Quantity Subtotal
× SEWING MACHINE Machine ndogo ya kushona nguo, ni kwa matumizi ya nyumban tu jaman usitembee na nguo iliyochanika, shona nguo yako mwenyewe kumbukeni kuna nguo zingine haziendi kwa fundi zile nguo za ndani kwaiyo ukipata machine kama hii itakisaidia kuzitengeneza nguo zako Hata kiraka unaweka tu Inatumia adapter na kikanyagio kimoja #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afrotaliatz Sewing Machine
1 x Sh110,000.00
Sh110,000.00
Sh110,000.00
× SENSOR LIGHT Taa zenye sensor kwa ajili ya ulizi wa nyumba yako mtu akipita inakuwa inatoa ishara fulan ya kuwa na kuzima jua kuna hatari, hii inafungwa nje kwa juu hiz taa zipo chache sana Watts 25 Sensor Light
1 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh25,000.00
× Blender ya mkono unatumia kutengenezea juice, mtoro chakula cha mtoto nk Unaweza tumia kwa biashara pia ni nzut sana Brand hoffen from Germany Watts 1000 Hand Blender
1 x Sh25,000.00
Sh25,000.00
Sh25,000.00
× GARDEN LIGHT Taa nzur ya kuweka nje sehem ya garden yako pia unaweza weka sehem ya njia ya getin inatafanya sehem yako kuinekana vizur zaid na ni water proof Garden Light
1 x Sh23,000.00
Sh23,000.00
Sh23,000.00
× EXTRACTOR JUICER Kwa wanaopenda juice ya karoti, apple , tango nk hii ndo majibu ya utengenezaji wa juice yako safi kabisa yenye ladha nzuri ya matunda hii huweki maji hata kidogo ni nzur sana Brand sencor Watts 600 Extractor Juicer
1 x Sh90,000.00
Sh90,000.00
Sh90,000.00
× Slow Cookers Slowly cooking hii kama hauna haraka ya kupika ni nzur sana unabandika chakula chako kinaiva taratibu, unweza bandika chakula na kuondoka kwenda kazin ukirud unakuta kipo tayr ni kula tu Watts 230 #0686979377 #0757252557 #afrotalia #afrotalia_international #stockTanzania #afroboel #afrotaliatz Slow Cookers
1 x Sh80,000.00
Sh80,000.00
Sh80,000.00
Cart totals

Cart totals

Subtotal Sh353,000.00
Shipment

Shipping to Dar es Salaam.

Total Sh353,000.00